Kamusi Ya Kiswahili Na Kiingereza Na
Uki-unzip, fungua Folder lililoandikwa TUKI Dictionaries, alafu ukitaka kuitumia Double click file inaloitwa index - sasa hii inafunguka kwenye Internet Browser (Internet Explorer / Google Crome / Mozila / Opera) ukifungua chagua Kiswahili au Kiingereza kulingana na matumizi yako.
• Reviewed by Dennis on Sunday March 10 2019 ★ 88 out of 97 based on 28 user ratings Rating: 4 ★ 4,561 views • Free Tmax 530 Wheeling Drift Burnout 2019 Download Mp3 ● Free Mp3 Tmax 530 Wheeling Drift Burnout 2019 ● Mp3 Downloader Tmax 530 Wheeling Drift Burnout 2019 Free Download ● Mp3 Download Tmax 530 Wheeling Drift Burnout 2019 Mobile ● Download Free Tmax 530 Wheeling Drift Burnout 2019 Music Online ● Mp3 Tmax 530 Wheeling Drift Burnout 2019 Songs Free Download ● Mp3 Download Tmax 530 Wheeling Drift Burnout 2019 Youtube.
Habarini wote! Kutokana na maombi ya watu wengi waliokuwa wanatafuta hii KAMUSI (Dictionary) ya TUKI - Kiswahili kwenda Kingereza na Kingereza kwenda Kiswahili.
Kuliko kum-PM mtu mmoja mmoja nimeona ni-i-upload into external servers ili kila mtu aweze kui-download kwa maendeleo ya kila mmoja wetu. Link yenyewe ni hii hapa (download): N.B: nime-izip, kwa hiyo uki-download just unzip it alafu uitumie. Kama ukiona post hii imekuwa ni ya msaada kwako si mbaya ukagonga kile kidude chetu cha LIKE!. All the best!. Wanatovuti wapendwa: Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni 'Istilahi ya Ngamizi'. Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika.
Maneno hayo yananiaibisha. Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini. Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo. Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye!
Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio: Asante. Wanatovuti wapendwa: Mimi mzungu wa Ireland nimetunga Kamusi ya kwangu ambayo jina lake ni 'Istilahi ya Ngamizi'. Nimerejea vyango vingi kukusanya msamiati unaofaa. Ujumbwe nimezisoma hapa kwenye tovuti hii asubuhi leo uliniduwaa kwa sababu ya kuwepo kwa maneno ya Kiingereza k.m download, link na kadhalika.
Maneno hayo yananiaibisha. Tafadhali tutumie Kiswahili inayopatikana kwa urahisi ila tufanye jaribio zaidi kuwa makini.
Ikiwa wataka nakala ya Kamusi yangu hiyo ya Ngamizi (Tarakirishi) ieleweke kwamba hakina ithibati wala sijapata ruzuku kutoka kwingeneko kufanya kazi hiyo. Matumaini yangu ndio kuwatolea wapendao Kiswahili cha kisasa ili pamoja tuboreshe hali ya kilugha hasa kwenya fani ya kingamizi. Nitafurahi ikiwa makosa yote kamusini yanifikishe ili nafaidi nafasi ya masahihisho baadaye. Nitumie anwani ya pepe nikutumie kamusi. Ya kwangu ndio: Asante.